
Imetaarifiwa
kwamba wote waliouawa katika shambulio hilo ni raia na watano
askari.tukio hilo limetokea karibu na mji wa Mubi ambao mwezi huu
ulikuwa ukishikiliwa na vikosi vya serikali ya nchi hiyo baada ya
kuukomboa kutoka katika himaya ya wanamgambo wa kikundi cha kiislam cha
Boko Haram.
Kuna matukio kadhaa ya mashambulizi yanayofanywa na
kundi la Boko Haram katika siku za hivi karibuni ikiwemo na matukio
mawili ya kujitoa muhanga kaskazini Mashariki mwa mji wa
Maiduguri,shambulio ambalo liligharimu uhai wa watu nane.
No comments:
Post a Comment