Juhudi za kuokoa maisha ya
mtoto Marck Kiwesa mwenye umri wa miaka 5 aliedumbukia katika kisima
cha maji wakati akicheza na wenzake mapema leo asubuhi zimegonga mwamba
baada ya kupatikakana akiwa amefariki dunia.
Tukio hili
limetokea katika manispaa ya Shinyanga katika shule ya awali ya sheer
bliss ambapo marahemu alikuwa akicheza na wenzanke karibu na shimo
ambalo lilikuwa halikufunikwa.
Polisi mkoani Shinyanga inamshikilia mmiliki wa shule hiyo kwa mahojiano zaidi.
Tarehe 20 November mwaka 2013 serikali ilitoa notisi kwa mmiliki wa shule kuifuga kutokana na kukosa usajiri.
source: star tv facebook page
Tarehe 20 November mwaka 2013 serikali ilitoa notisi kwa mmiliki wa shule kuifuga kutokana na kukosa usajiri.
source: star tv facebook page
No comments:
Post a Comment