![]() |
Hughes alikuwa na umri wa miaka 25 |
Mchezaji huyo amefariki siku chache baada ya kupata majeraha
alipogongwa kichwani na mpira siku ya Jumanne wiki hili alipokuwa
akicheza mjini Syney.
Ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 25.
Awali Madaktari walimfanyia upasuaji kwenye ubongo wake lakini hali yake
iliendelea kuwa mbaya
Familia yake inasema kuwa imeshtushwa mno na kifo chake.
Waziri mkuu wa Australia Tony Abbott ameelezea masikitiko yake kuhusiana na kifo cha mcheazji huyo mashuhuri mweney umri mdogo.
No comments:
Post a Comment